KUTORUHUSU bao lolote dhidi ya TRA United katika mechi nne za Ligi Kuu Bara walizokutana, zinaipa Simba matumaini ya ...
KUNA dakika 90 muhimu leo zitapigwa pale Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo Mbweni Jijini Dar es Salaam, Simba itakaporejea ...
Simba imeondoka na pointi tatu muhimu baada ya kuifunga Singida Black Stars katika mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara ...
Mtifuano wa Ligi kuu Soka Tanzania Bara unaendelea leo Mei 5 kwa Mchezo mmoja katika hatua ya lala Salama Wekundu wa Msimbazi Simba wanakibarua kigumu ugenini dhidi ya Maafande JKT Tanzania. Simba ...
Hatimaye mashindano ya Kombe la Shirikisho Afrika 2024/25 (TotalEnergies CAF Confederation Cup), yamefikia tamati baada ya fainali kati ya Simba Sports Club (Simba) kutoka Tanzania, na Renaissance ...
Baada ya kukamilisha mechi za viporo za Ligi Kuu soka Tanzania bara, Kocha wa Simba, Fadlu Davids ameeleza mipango inayofuata katika fainali ya kombe la shirikisho barani Africa dhidi ya RS Berkane.