Wakati fulani wa likizo, tulikwenda kutembelea minara au sehemu maalum tulizopendekezewa. Wakati tulipokuwa huko tukijifurahisha tulijiuliza iwapo eneo hilo ndilo tulilopaswa kwenda. Je! tulilifurahia ...
(Nairobi) – Ndoa za utotoni ndani ya Tanzania inapunguza upatikanaji wa eliumu kwa wasichana na inawaweka hatarini kupata madhara makubwa, Human Rights Watch imesema kwenye ripoti iliyotolewa leo.
Mwezi mtukufu wa Ramadhani unatajwa kuwa ni mwezi wenye neema ambapo, familia hujumuika kwa pamoja katika swala na chakula. Waislamu wengi nchini Tanzania hutumia muda huo kujiandaa kwa kujitakasa ...
Umoja wa Afrika unakutana katika mji mkuu wa Zambia, Lusaka, katika mkutano wenye lengo la kujadili njia za kujaribu kukomesha tamaduni na mila zinazohalalisha ndoa watoto. Kwa mujibu wa taarifa ya ...
Bunge la Ujerumani limepiga kura kuruhusu ndoa za watu wa jinsia moja baada ya Kansela Angela Merkel kubadili msimamo kuruhusu wanachama wa kundi lake la kihafidhina kufuata imani zao badala ya ...
Programu ya habari ya Afrika Upya inapeana habari mpya na uchambuzi wa changamoto kuu za kiuchumi na maendeleo zinazoikabili Afrika leo. Inachunguza maswala mengi yanayowakabili watu wa Afrika, ...