News

Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na kuwahamisha watendaji wake, ambapo amewaweka kando wakuu wa mikoa (RC) watano ...
Kwa mujibu wa taarifa ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Qatar iliyochapishwa kwenye X imeeleza kuwa hatua hiyo inalenga kuimarisha ...
Kibano hicho kinaongeza makali kwa wagombea kupitia chama hicho, baada ya kile cha awali kilichohusisha mabadiliko ya Katiba ...
Hatua hii ni utekelezaji wa mikakati mbalimbali ya kukuza uchumi kwa kuwawezesha wajasiriamali kuendelea kushiriki kwenye ...
Mambo hayo ni pamoja na utekelezaji wa Ilani ya CCM, kupeleka wagombea wenye sifa, kuheshimiana kwa kutumia utaratibu wa 4R, ...
Hayo yameelezwa na Wakili wa Serikali, Frank Rimoy mbele ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Jumatatu, Juni 23, 2025 ...
Hatua hiyo itafungua pazia la mchakato wa uchaguzi kuanzia ngazi ya ndani ya chama hicho, kwa wale wanaotaka kuwania, ...
Kamishna wa Mamlaka ya Kupambana na dawa za kulevya Areta Lyimo amesema mapambano amesema kwa sasa Mamlaka hiyo inaendelea ...
Uhondo wa Kariakoo Derby ya safari hii unachangiwa zaidi na hesabu za ubingwa ambazo kila timu inahitaji ushindi katika mechi hiyo ili iweze kuondoka na taji la Ligi Kuu msimu huu.
Shaka amelaani tukio hilo na kuwapa pole ndugu na familia ya marehemu huku akiwataka kuwa na moyo wa uvumilivu katika kipindi hiki kigumu ambacho wamempoteza mpendwa wao lakini kuliamini jeshi ...
Kabla ya mabadiliko hayo, sheria ilikuwa inalazimisha ili usimamie mradi lazima uwe kampuni au utoke kwenye kampuni, lakini ...
Akizungumza baada ya kumaliza kufanya ukaguzi, Mapunda amesema maonyesho hayo yana hadhi ya kimataifa hivyo haipendezi malori ...