Baraket winga wa klabu ya Azam. WACHEZAJI wapya watatu waliotangazwa hivi karibuni, Issa Fofana, Baraket Hmidi na Ben Zitoune Tayeb, wameahidi kuipa Azam FC mataji msimu ujao. Wakizungumza wakiwa ...
Rais wa Klabu ya Yanga Eng. Hersi Said. KLABU ya Yanga imekataa kiasi cha fedha za Kitanzania Sh. Bilioni 5 kumuuza straika wake hatari, Clement Mzize, ikiwa ni moja ya majaribio kadhaa ya klabu ...