News

Waendesha mashtaka nchini Ufini wamefungua mashtaka dhidi ya nahodha na maafisa wawili wa meli ya mafuta inayoshukiwa ...
KWA mashabiki wa soka, hakuna kitu kitamu kwao kama kuona mchezaji wao akiibukia kutoka kwenye akademia zao kisha akapata namba kwenye kikosi cha timu ya wakubwa na kufanya vizuri akiwa ...
CLEMENT Mzize amekuwa katika vichwa vya habari wikiendi hii ndani na nje ya uwanja. Alifunga mabao mawili dhidi ya Madagascar ...
KATIKA anga la Tanzania, kuna viumbe wakubwa wenye mabawa mapana, wanaozunguka juu kwa mduara mithili ya sanamu hai za uhuru ...
Wataalamu wa sheria wanaeleza faida na hasara ya kuandikisha mali kwa majina ya watoto, huku wakitoa ushauri wa njia za ...
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limefanya mkutano wa dharura huko Gaza siku ya Jumapili, Agosti 10, kufuatia tangazo la ...
Virutubisho huwa kama suluhu za haraka za changamoto za afya, zikisaidia usingizi bora, ngozi inayong'aa, umakini ...
Pili kupoteza unyevu: Rangi ya nywele inaweza kusababisha nywele kupoteza unyevu, na kusababisha iwe kavu hatimaye kuwa ...
Mataifa mbalimbali ulimwenguni yameombwa kuchukua hatua na kutatua mzozo wa kimataifa wa plastiki, mwenyekiti wa kamati ya ...
"Trump anapaswa kukumbuka jinsi 'mkono uliokufa' ulivyo hatari," ni maneno ambayo rais wa zamani wa Urusi Dmitry Medvedev ...
Mawinbi hatari ya joto yanaendelea kuikumba Japani na halijoto inayozidi nyuzi joto 40 za Selisiyasi kwa siku tatu mfululizo ...
Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya Duniani (WHO) na lile la Kupambana na Dawa za Kulevya na Uhalifu (UNODC), kwa pamoja wametoa ripoti ya kihistoria inayoonesha matokeo muhimu kuhusu tishio la kudumu ...