News

Dar es Salaam. Chama cha Mapinduzi (CCM), kimesema mbali na fedha za kampeni za uchaguzi mkuu 2025, harambee kiliyoianzisha ...
Mamia ya makada, wafuasi na mashabiki wa Chama cha Mapinduzi (CCM), wamejitokeza katika ukumbi wa Mlimani City, inakofanyika ...
Wakati Jeshi la Polisi likieleza kuwa linaendelea na uchunguzi kuhusu kutoweka kwa dereva bodaboda Deogratius Shirima (35), ...
Kagera. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amewataka Watanzania kuwapima wagombea wa nafasi mbalimbali katika Uchaguzi Mkuu ujao. Pia, amesisitiza wawachague viongozi ...
Washtakiwa saba wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashtaka 20 yakiwemo ya kuongoza genge ...
Askari Polisi mwenye namba WP 10050, Julieth Moshi (30) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kujibu mashtaka ...
Maandalizi ya kuanza kwa usafiri wa mabasi yaendayo haraka (BRT) awamu ya pili, katika barabara ya Mbagala (Kilwa), sasa ...
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo leo Agosti 12,2025 na kueleza kuwa majeruhi ...
Zikiwa zimepita siku 55 tangu Rais Samia Suluhu Hassan azindue Daraja la JPM, maarufu kama Kigongo-Busisi, idadi ya magari kutoka ndani na nje ya nchi yanayovuka yanatajwa kuongezeka.
Watoto 50 walionusurika katika ajali ya moto uliozuka katika kituo cha kulelea watoto yatima cha Igambilo kilichopo katika ...
Mabingwa watetezi, Senegal wameendelea kuongoza kundi D la mashindano ya Mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani (CHAN 2024) ...
Mabingwa wa Ligi Kuu England, Liverpool, wameanza mawasiliano ya moja kwa moja na Crystal Palace kwa nia ya kumsajili nahodha ...