News

Serikali ya Tanzania imekamilisha na kuzindua Daraja la John Pombe Magufuli, Juni 19, 2025. Daraja hilo refu zaidi Afrika Mashariki na Kati linaunganisha Kigongo-Busisi, likirahisisha usafiri na ...
Serikali imeanzisha programu maalumu ya uendelezaji upya maeneo chakavu katika miji, ili kuondoa changamoto mbalimbali, ...
Kama inavyosemwa na Waswahili, ukitaka kujua utamu wa ngoma sharti uingie uicheze, ndivyo ilivyo hata unapotaka kujua karaha ...
Dar es Salaam. Issa Matona. Mishangazi na midingi inamjua. Mwamba kutoka Visiwani. Alikuwa ni mwanamuziki wa taarabu. Lakini ...
Baada ya Wydad Casablanca kutolewa juzi, matumaini ya Afrika kwenye Kombe la Dunia la Klabu yamezidi kufifia baada ya Al Ahly ya Misri kutupwa nje mapema alfajiri ya leo kufuatia sare ya ...
Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa wakuu wa wilaya mbalimbali nchini. Katika taarifa iliyotolewa leo Jumatatu Juni ...
Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam, leo Jumanne Juni 24, 2025, inatarajiwa kusikiliza kesi ya msingi ya mgogoro wa ...
Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na kuwahamisha watendaji wake, ambapo amewaweka kando wakuu wa mikoa (RC) watano ...
Katika chuo kimoja ninachofundisha sasa kimtandao huko Marekani, kila mwanafunzi kabla ya mahafali anapaswa kujifunza kozi ...
Kwa mujibu wa taarifa ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Qatar iliyochapishwa kwenye X imeeleza kuwa hatua hiyo inalenga kuimarisha ...
Kibano hicho kinaongeza makali kwa wagombea kupitia chama hicho, baada ya kile cha awali kilichohusisha mabadiliko ya Katiba ...
Hatua hii ni utekelezaji wa mikakati mbalimbali ya kukuza uchumi kwa kuwawezesha wajasiriamali kuendelea kushiriki kwenye ...