News

JACK Grealish hatimaye amefanikiwa kukimbia benchi huko Manchester City baada ya kusajili mkataba wa mkopo wa msimu mmoja ...
NYOTA 24 wa kikosi cha Yanga wamepaa leo kuifuata Rayon Sports ya Rwanda kwa ajili ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Rayon ...
MANCHESTER United imeripotiwa kutaka kufanya usajili wa kushtukiza wa kumnasa beki wa kati wa Bayern Munich, Dayot Upamecano ...
JEURI ya pesa! Hivyo ndivyo unaweza kusema baada ya kiungo mshambuliaji wa Azam FC, Feisal Salum 'Fei Toto' ambaye ...
Mkali wa Pop kutoka Marekani, Madonna amemuomba Papa Leo XIV, akimsihi kwenda Gaza ili kuwasaidia watoto wanaoteseka kutokana ...
LONDON, ENGLAND: ALEJANDRO Garnacho ametuma ujumbe mzito huko Manchester United juu ya hatima yake kwenye mchezo wa soka.
KOCHA wa Morocco, Tarik Sektioui amesema makosa waliyoyafanya kwenye mechi iliyopita dhidi ya Kenya wanayafanyia kazi ili ...
LIGI ya kikapu Dar es Salaam inaendelea kunoga huku timu zilizotinga hatua ya robo fainali zikianza kujulikana na unaambiwa ...
KAMATI ya Nidhamu la Shirikisho la Soka Afrika (CAF) imekutana kujadili masuala mbalimbali yanayohusu nidhamu katika michuano ya CHAN inayoendelea na kutoa uamuzi kadhaa dhidi ya vyama vya ...
MAMBO ni moto. Kipute cha Uefa Super Cup kinapiga Jumatano usiku na mabingwa wa Ligi ya Mabingwa Ulaya wataonyeshana kazi na ...
HATMA ya timu itakayoungana na Tanzania kutinga makundi ya michuano ya Ubingwa wa Nchi za Afrika (CHAN) 2024 kutoka Kundi B, ...
MPANGO wa Chelsea wa kutaka kumjumuisha Christopher Nkunku kwenye dili la kumsajili Xavi Simons wa RB Leipzig linaripotiwa ...